Stella

by 09/10/2014 23:08:00 Comments 1267 Views

Casts: Hemedi Suleiman, Gelly wa Rhymes, Gertrude Mwita, Elizabeth Rome, Bakari Mtaula, Salim Suleiman, Sadam Suleiman, Pendo Mushi, Rukya Ally

Mapenzi matamu, kwa wale wapendanao. Kwangu mimi, ni mateso. Kamwe sitaweza kukuacha kwa jinsi ninavyokupenda. Naamini siku moja utabadilika na kunipumzisha.