Shaymaa

by 09/10/2014 23:25:00 Comments 1044 Views

Casts: Yusuph Mlela, Wastara Juma, Salma Jabu, Hamda Haroub, Mohamedy Sochi

Shaymaa - (The Way She Loved Was Her Sentence) Moyo wa mwanadamu siku zote unatamani kuwa na furaha. Moyo ukikosa furaha unaweza kufanya jambo usilotarajia au ukamkera mwingine. Lengo lako wewe ni kutafuta furaha, mwangza wa kuona kesho yenye furaha.