Samira

by 09/10/2014 23:40:00 Comments 1498 Views

Casts: Riyama Ally, Yusuph Mlela, Suleiman Barafu, Abdalah Mkumbila, Khadja Pius, Ibrahim Mputa, Alez Wasponga, Edward Temu, Naomi Mbaga, Cecilia Buberw, Anicent Renatus, Julitha Mphuru, Haggy Hongo, Bi Hindu, Bi Mwenda

Samira (Riyama Ally) na mume wake (Yusuph Mlela) wanakwenda kijijini kumsalipiia shangazi yake, huko wanakutana na mtu ambaye alikuwa anampenda Samira tangu zamani. Mtu huyo ni Mbigi (Suleiman Barafu) ambaye sasa ni gwiji wa mitishamba na mganga maarufu, anatumia nguvu za giza kumteka Samira. Huo unakuwa mwamzo wa pilikapilika katika filamu hii ya kusisimua. Mapenzi, Uchawi, Utafiti na Nguvu za Giza vinatawala mwanzo mwisho