Tanzanite 2

by 11/12/2015 17:09:00 Comments 1 Views

Tanzanite ni madini yenye thamani kubwa, uthamani na utajiri wa madini ya tanzanite unaweza kumuingiza binadamu kwenye tamaa na kuanza dhuluma

kama ilivyo kwa wafanya biashara hawa wawil wanavyojengeana chuki, uhasama na uadui wa hali ya juu…

“Tufanye hukunipa mzigo pia mimi na wewe hatujuani, hujui kupoteza kupi katika maisha?... Wangapi wanapoteza amani, upendo au uhai?... itakuwa wewe kupoteza tanzanite tu?

lazima utambue kuwa kudhulumiwa ni sehemu ya maisha”... fuatilia kisa hiki”

Cast: Irene Uwoya, Jacob Steven, Hashim Kambi, Hisani Muya, Neshy Adam